Yaliyojiri Ngao ya Jamii; Simba yaigonga Namungo 2-0 uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha

Anachokiona Kocha wa Simba ni tofauti na tunachokiona Mashabiki. Muzamiru labda ni mzuri kwa aina ya viwanja vibovu.
Kaamua kumtoa Morson ili watu wasiendelee kukereka.
Nilichoona ni kuwa mzamiru na dilunga walidumu kwa sababu wanasaidia kwenye ukabaji. ivyo huwezi kumpanga bwalya, chama na ajibu na morisson kwa wakati mmoja kwa vile sio wakabaji ivyo timu ingekosa balance kucheza na mkude pekee
 
Ulivyotazama mpira Dilunga alikuwa anakaba, Mzamiru je aina ya upangaji na wachezaji wanaopangwa ndio inafanya mashabiki wazomee wachezaji
 
mbwembwe nyiiingi eti oooh tunawapiga nyingi, kipigo cha mbwa koko...

mmeishia 2 bila, simba mpira ni uwanjani sio mdomoni wala mitandaoni
Hivi unasahau ulikimbilia kuanzisha uzi mechi ya asf nusu fainali kati ya Simba na utopolo au umesahau mwisho wake ilikuwaje inaelekea ulitaka upate mwenzako wa kupigwa 4g ila inakuuma Namungo kufungwa goli chache
 
Ila simba wenzangu jana kwenye upande wa tamasha la yanga wametuvua nguo, wazungu wanasema THEY BLEW US OUT OF THE WATER...
kwani simba inashindana na yanga au yanga anaiga inachofanya simba muhimu simba ijitahidi sasa kubadika ije kivingine kabisa mwakan ikiwezekana waalike hata timu 3 za nje na sio lazima wafanyie dar tu kila mwaka waje na huku mikoan
 
Nne kuendelea. Wana hasira kwanini wao wapigwe 4 G halafu Namungo afungwe 2 tu.
Namungo hawana ngebe. Utopolo ngebe ziliwaponza. Tarehe 18 goli 6.
Ha ha ha, kabisa.
 
Ulivyotazama mpira Dilunga alikuwa anakaba, Mzamiru je aina ya upangaji na wachezaji wanaopangwa ndio inafanya mashabiki wazomee wachezaji
Kulikuwa hakuna jinsi wao kupangwa. mkuu hata kama unaona hawakuperfom ila kwenye kufanya pressing wamesaidiana sana
 
Kulikuwa hakuna jinsi wao kupangwa. mkuu hata kama unaona hawakuperfom ila kwenye kufanya pressing wamesaidiana sana
Kwa M Yssin binafsi naona kajitahidi kumsaidia sana Mkude kuwa free,
 
Nne kuendelea. Wana hasira kwanini wao wapigwe 4 G halafu Namungo afungwe 2 tu.
Namungo hawana ngebe. Utopolo ngebe ziliwaponza. Tarehe 18 goli 6.
Kuna kitu kilifanyika ndio maana wale waliohisiwa hawakupewa mikataba akiwemo yule wa kutaka kucheza na hakina Mzee Chum, Mzee Kahat!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nne kuendelea. Wana hasira kwanini wao wapigwe 4 G halafu Namungo afungwe 2 tu.
Namungo hawana ngebe. Utopolo ngebe ziliwaponza. Tarehe 18 goli 6.
Namungo wanatimu nzuri,lakini pia uwanja haukuruhusu wafungwe Nyingi (4 na kuendelea)
 
Kuna tetesi kwamba Gerson Fraga Vieira naye ameonyeshwa Mlango wa kutokea kutokana na majeraha aliyoyapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…