Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Huyu naeMbili bila kumbe goli chache, oooh nimekumbuka kumbe ulishazoea kupigwa NNE ka za trh 12/7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu naeMbili bila kumbe goli chache, oooh nimekumbuka kumbe ulishazoea kupigwa NNE ka za trh 12/7
Kakojoe ulale,Ila simba wenzangu jana kwenye upande wa tamasha la yanga wametuvua nguo, wazungu wanasema THEY BLEW US OUT OF THE WATER...
Nilichoona ni kuwa mzamiru na dilunga walidumu kwa sababu wanasaidia kwenye ukabaji. ivyo huwezi kumpanga bwalya, chama na ajibu na morisson kwa wakati mmoja kwa vile sio wakabaji ivyo timu ingekosa balance kucheza na mkude pekeeAnachokiona Kocha wa Simba ni tofauti na tunachokiona Mashabiki. Muzamiru labda ni mzuri kwa aina ya viwanja vibovu.
Kaamua kumtoa Morson ili watu wasiendelee kukereka.
Ulivyotazama mpira Dilunga alikuwa anakaba, Mzamiru je aina ya upangaji na wachezaji wanaopangwa ndio inafanya mashabiki wazomee wachezajiNilichoona ni kuwa mzamiru na dilunga walidumu kwa sababu wanasaidia kwenye ukabaji. ivyo huwezi kumpanga bwalya, chama na ajibu na morisson kwa wakati mmoja kwa vile sio wakabaji ivyo timu ingekosa balance kucheza na mkude pekee
Hivi unasahau ulikimbilia kuanzisha uzi mechi ya asf nusu fainali kati ya Simba na utopolo au umesahau mwisho wake ilikuwaje inaelekea ulitaka upate mwenzako wa kupigwa 4g ila inakuuma Namungo kufungwa goli chachembwembwe nyiiingi eti oooh tunawapiga nyingi, kipigo cha mbwa koko...
mmeishia 2 bila, simba mpira ni uwanjani sio mdomoni wala mitandaoni
kwani simba inashindana na yanga au yanga anaiga inachofanya simba muhimu simba ijitahidi sasa kubadika ije kivingine kabisa mwakan ikiwezekana waalike hata timu 3 za nje na sio lazima wafanyie dar tu kila mwaka waje na huku mikoanIla simba wenzangu jana kwenye upande wa tamasha la yanga wametuvua nguo, wazungu wanasema THEY BLEW US OUT OF THE WATER...
Ha ha ha ha hA.Bong'oa FC mtateseka sana msimu tenaView attachment 1553921
Unajua Jose wewe ni kivuruge.Huyu nae
Barafu ya moto ni mvuke, Simba Sc hatushindani na YangA.Ila simba wenzangu jana kwenye upande wa tamasha la yanga wametuvua nguo, wazungu wanasema THEY BLEW US OUT OF THE WATER...
Ha ha ha, kabisa.Nne kuendelea. Wana hasira kwanini wao wapigwe 4 G halafu Namungo afungwe 2 tu.
Namungo hawana ngebe. Utopolo ngebe ziliwaponza. Tarehe 18 goli 6.
Kulikuwa hakuna jinsi wao kupangwa. mkuu hata kama unaona hawakuperfom ila kwenye kufanya pressing wamesaidiana sanaUlivyotazama mpira Dilunga alikuwa anakaba, Mzamiru je aina ya upangaji na wachezaji wanaopangwa ndio inafanya mashabiki wazomee wachezaji
Kwa M Yssin binafsi naona kajitahidi kumsaidia sana Mkude kuwa free,Kulikuwa hakuna jinsi wao kupangwa. mkuu hata kama unaona hawakuperfom ila kwenye kufanya pressing wamesaidiana sana
Kuna kitu kilifanyika ndio maana wale waliohisiwa hawakupewa mikataba akiwemo yule wa kutaka kucheza na hakina Mzee Chum, Mzee Kahat!Nne kuendelea. Wana hasira kwanini wao wapigwe 4 G halafu Namungo afungwe 2 tu.
Namungo hawana ngebe. Utopolo ngebe ziliwaponza. Tarehe 18 goli 6.
Huwa hamkosi sababu mkishinda nyie sawa ila simba ikishinda hujuma ilifanyikaKuna kitu kilifanyika ndio maana wale waliohisiwa hawakupewa mikataba akiwemo yule wa kutaka kucheza na hakina Mzee Chum, Mzee Kahat!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli mkuu.Kuna kitu kilifanyika ndio maana wale waliohisiwa hawakupewa mikataba akiwemo yule wa kutaka kucheza na hakina Mzee Chum, Mzee Kahat!
Sent using Jamii Forums mobile app
Namungo wanatimu nzuri,lakini pia uwanja haukuruhusu wafungwe Nyingi (4 na kuendelea)Nne kuendelea. Wana hasira kwanini wao wapigwe 4 G halafu Namungo afungwe 2 tu.
Namungo hawana ngebe. Utopolo ngebe ziliwaponza. Tarehe 18 goli 6.