Yaliyojiri Ngao ya Jamii; Simba yaigonga Namungo 2-0 uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha

Yaliyojiri Ngao ya Jamii; Simba yaigonga Namungo 2-0 uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha

Shiiiiiii Wale ni vyura.....wenye hasira../
Watakuletea msala../
Ngumi hawakuwezi kukushtaki wataona bora../
Njoo ucheki mautundu kwenye pitch, wanavyo yatoa kwa mikogo.../

Wanamuita Simba mbabe wa nchi, hana mpinzani weka mbali na watoto.../

Wanajiita wakimataifa, Daily bakuli mbona hawaendani na hiyo sifa?.../

Ulinzi wakutosha simba iko fit kila idara, vyura hamtufungi hata adake manara.../
 
Mpangilio wangu binafsi leo:-
4-3-3 Simba
lineup.png
 
Uwanja umejaa milango imefungwa watu wako nje na tiketi zao wanadai warudishiwe hela zao
 
Nkutoka Arusha, naona vijana wanaingia na Bendera za timu mbali mbali zitakazo shiriki ligi kuu msimu ujao. Maana Leo n ufunguzi wao.
 
Back
Top Bottom