Ty_Vigilante
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 2,890
- 2,455
3 achangamke akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo ucheki mautundu kwenye pitch, wanavyo yatoa kwa mikogo.../Shiiiiiii Wale ni vyura.....wenye hasira../
Watakuletea msala../
Ngumi hawakuwezi kukushtaki wataona bora../
Yaani we jamaa akili zako sasa kikosi gank hicho umetupangia?
Hii ndio First 11 lineup ya leoYaani we jamaa akili zako sasa kikosi gank hicho umetupangia?
Mkali mwituni.kila la kheri Mnyama
Relax mnyama mkali.Hii ndio First 11 lineup ya leo
Relax mnyama mkali.Hii ndio First 11 lineup ya leo
Mbona pamechakaa hivi hili eneo mkuu? nina miaka minne sijafika.Hali iko hivi Arusha.View attachment 1553020View attachment 1553021
Huo uwanja ni mdogo, nadhani haubebi watazamaji zaidi ya elfu 20 (20,000).Mbona pamechakaa hivi hili eneo mkuu? nina miaka minne sijafika.
Maboresho zero. MkuuMbona pamechakaa hivi hili eneo mkuu? nina miaka minne sijafika.
Kaly 'empaliHao hao safari hii wanawabagaza goli 8.Uto kama Uto