Yaliyojiri Ngao ya Jamii; Simba yaigonga Namungo 2-0 uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha

Yaliyojiri Ngao ya Jamii; Simba yaigonga Namungo 2-0 uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha

Si ndio huyu huyu wakati yupo Yanga aliambiwa hana namba Simba?
Tena hayo maneno nakumbuka niliyasema mimi

Ila kwakua simba ni university of football na yeye amekiri wamem-coach kwa kipindi kifupi tu na akaiva. Na ndio maana kiwango hiki anachokionesha hapa hamjawahi kukiona wakati yuko yanga
 
Aseeh ni app gan naweza stream mpira huu niko sehem ambayo siwez kuangalia mpira
 
Back
Top Bottom