Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Kitakachomwangusha Ruto ni kuwa mpinzani wake (yaani Odinga) ana backup ya system. Ruto anaweza akashinda na asitangazwe! Kikubwa nawaombea kwa Mungu wamalize mambo yao kwa amani maisha yaendelee.



YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
Kenya haiko hivyo mkuu,lazima watu hata kumi wafe....hamnaga uchaguzi Kenya unaoisha kana kwamba mlikuwa ibadani.....hasa kwa siku za karibuni.
 
What is 50 percent plus 1 vote? Is it 51 percent or 50 percent of the votes plus one single vote? What does the Constitution of Kenya say?

Article 138 (4) of the Constitution of Kenya states that; (4) A candidate shall be declared elected as President if the candidate receives– (a) more than half of all the votes cast in the election; and (b) at least twenty-five percent of the votes cast in each of more than half of the counties.


At the same time, the sub-section (5) says; If no candidate is elected, a fresh election shall be held within thirty days after the previous election and in that fresh election the only candidates shall be– (a) the candidate, or the candidates, who received the greatest number of votes; and (b) the candidate, or the candidates, who received the second greatest number of votes.


From what the Constitution says, 50 percent plus 1 means 50 percent of the votes plus one vote. As the IEBC continues with the tallying of the votes, this will be one of the key things that the officials will be banking on to declare the win
 
Wana shida sana pamoja na kwamba wapo bright kichwani ni wasomi lkn hapo ndio sijui wanakwama wapi.
Hiyo IPO kila mahali mkuu. Kwa hapa Tanzania imeanza kwa kasi kubwa mfano:
1. Sukuma gang.
2. Supremacy of chagga vs haya
3. Wazanzibar.
4. Bara vs pwani.
Hata Kenya ilianza kwa luo vs Kikuyu then maeneo mengine wakawa wanachagua wamuunge nani mkono wakaishia kwenye ukabila.
Tusijifariji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…