Malobabrian
JF-Expert Member
- Jun 12, 2020
- 254
- 298
RMS yote ipo chini ya SKMAcha wehu atwoli anamiliki citizen ya wapi? Uropokaji mwingine uwe na staha japo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RMS yote ipo chini ya SKMAcha wehu atwoli anamiliki citizen ya wapi? Uropokaji mwingine uwe na staha japo.
Siasa za kenya na Tanzania kwa sisi watanzania hazina faidaRuto akishinda hata biashara za Tanzania na Kenya zitayumba sana, Anahasira mingi nad he is not matured enough.
Sahihi kabisa mkuu. Sk macharia ndiye mmiliki. Ety Atwoli.....duh ujuaji wa wabongo hauishagi.RMS yote ipo chini ya SKM
Alaah, alaah shenzi sana😂😂😂(kwa sauti ya Atwoli).Acha wehu atwoli anamiliki citizen ya wapi? Uropokaji mwingine uwe na staha japo.
Atwoli hana kitu ni mtu mtani tuu na mcheshiSahihi kabisa mkuu. Sk macharia ndiye mmiliki. Ety Atwoli.....duh ujuaji wa wabongo hauishagi.
Kama sijahesabu nimdanganyeSasa wewe kama unafahamu si uweke hapa data zote,unataka kumwelimisha lakini hapo hapo unamtuma yeye akatafute wakati hajui kwa mtazamo wako.
Huyu Miguna Miguna kufukuzwa Kenya na Kenyatta alifanya uamuzi wa busara sana.Ruto kafanya yake,hatari sana!View attachment 2321856
50%+1vote na kuendeleaHebu tuwekane sawa, mshindi anatakiwa awe na kura 50% plus 1 vote? Au 50% plus 1%?
Hebu tuelewane hapa kwanza, maana shule zetu za kata ni janga la Taifa mtu hadharani anacomment bila wasiwasi halafu Wakenya wanatucheka.
Nyerere.
Habari ya kweli hii?Ruto kafanya yake,hatari sana!View attachment 2321856
Una huruma sana, nimefatilia comment zako zote unaonyesha huruma kubwa, una silika sahihi za kikeBora iwe hivyo huyu baba ashinde jaman.
Kenya haiko hivyo mkuu,lazima watu hata kumi wafe....hamnaga uchaguzi Kenya unaoisha kana kwamba mlikuwa ibadani.....hasa kwa siku za karibuni.Kitakachomwangusha Ruto ni kuwa mpinzani wake (yaani Odinga) ana backup ya system. Ruto anaweza akashinda na asitangazwe! Kikubwa nawaombea kwa Mungu wamalize mambo yao kwa amani maisha yaendelee.
YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
wamezima internet nchi nzima. 😀Wekeni updates jaman, imekuajeee?????
What is 50 percent plus 1 vote? Is it 51 percent or 50 percent of the votes plus one single vote? What does the Constitution of Kenya say?Ngoja tusaidiane ni a simple language na mfano, let's say kuna kura halali za urais 20,na katika kura hizi mgombea A kapata 12 ya kura halali zilizopigwa na mgombea B kapata kura 7 na mgombea C kapata kura 1,jumla ya kura zote itakua 12+7+1=20(hizi ni total ya kura halali zilizopigwa za urahisi na ndio 100%,ya kura zote),to be a winner ni LAZIMA uwe na kura 10(50% ya total vote(20)plus 1 vote yaani uwe na kura 11,sasa kwa katiba ya Kenya ya sasa ni lazima mshindi apate 50%ya kura zote halali (majority)plus 1,kuna hatari ya kufanya re run ya hawa top two.Tanzania unaweza kuwa president hata kama umepata 29%,ya total votes as far wengine wana below that!yaani A ana 10%,B ana 7%na C awe na 3%,ya total veto,huyu aliyepata 10%ya kura anaapishwa kuwa president
TISS again..Ruto kafanya yake,hatari sana!View attachment 2321856
Kama sio sahii kwanin media hazitoi Tena matokeo Bali ni tume tu wanaotoaFAKE NEWS!
iebc wenyewe wametowa ripoti wakasema tarifa hilo si sahihi
Hiyo IPO kila mahali mkuu. Kwa hapa Tanzania imeanza kwa kasi kubwa mfano:Wana shida sana pamoja na kwamba wapo bright kichwani ni wasomi lkn hapo ndio sijui wanakwama wapi.
Jinga sana kijana. Unaongea pumba. Kumlinganisha Tundu lissu na ujinga huo. Achaa ujinga mara mojaHuyu Miguna wa Miguna hana tofauti na Tundu Lissu. Wote ni wakimbizi na wako tayari kuchochea machafuko nchini kwao.
😂😂😂 Walahi nakublock!Hebu fanya ucheki na ndugu Wafula Chebukati umpe mbinu zenye mnafanyaga, afanye chapu, aache kulaza zege