Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Sasa si mpk nchi fulani zikubali huu mfumo waliyoutumia wakenya

Ova
Tanzania na Uganda viongozi wake sasa hivi hawataki kabisa kinachoendelea Kenya kwa sababu wanajua wananchi wa nchi zao watafunguka macho. Ila hata kama watakataa kufanya kama Kenya ila ni jambo la muda tu. Mapambazuko yako karibu sana, hasa kwa Tanzania.
 
Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto Ruto

Ni yeye, ni yeye ni yeye ni yeye ni yeye

A win for Ruto is a win for democracy

Nchi za Africa mashariki tunaanza kujifunza, kuamka na kukataa uongozi wa kupeana.
 
Sasa kwemda mahakamani kuna shida gani? Kama ana hoja zenye mashiko kazima a challenge sio kama tanzagiza ambako mtu huruhusiwi kwenda mahakamani ambapo ndo mahali pekee pa kupatia haki.
 
Kwenye huu uzi,mods wakisema wakomeshe uzushi wa hovyo,wangepiga ban hawa wahuni wanaotoa taarifa za uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…