TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana nawe. Familia ya Ruto tayari imeanza kuwa treated kipresidaa😄😄😄😄😄😄Mzee ya Kitendawili chaliNew Alert
- William Ruto Ameshinda
- pole sana Kwa Raila Odinga
Sometimes unaona shida ya katiba mpya, mtu kashindwa bado anaenda mahakamani.Mawakili hao, wanajipanga kufungua kesi ya kushindwa.
Ona huyuNew Alert
- William Ruto Ameshinda
- pole sana Kwa Raila Odinga
Tanzania na Uganda viongozi wake sasa hivi hawataki kabisa kinachoendelea Kenya kwa sababu wanajua wananchi wa nchi zao watafunguka macho. Ila hata kama watakataa kufanya kama Kenya ila ni jambo la muda tu. Mapambazuko yako karibu sana, hasa kwa Tanzania.Sasa si mpk nchi fulani zikubali huu mfumo waliyoutumia wakenya
Ova
Sasa kama odinga Angekua amechokwa ruto si angeshinda kwa kishindo Kama huko Tanzania kwenu raisi anashinda kwa 87%Wanadhani wakenya wana akili kama za kwetu? Wakenya wamewachoka vibaya mnooo, Uhuru na Odinga.