Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
mhhhhh naona kivumbi kinakuja.. agent wa azimio kakatiwa matangazo hahah

Assmio wakubali tu kushindwa, sasa hivi wamejitokeza na kikundi chao eti wanamtuhumu Chebukati na team yake eti wao crime propagator na pale BOMAS ni crimr scene.
Bila shaka wanajua kinachoenda kutokea huko ndani.
 
amekatiwa matangazo.. maana yake tayari new system -system imesha adapt new regime- vitu vinakua held under order kisha matokeo yatolewe.kukatwa matangazo ni moja ya kuweka taarifa. nchi ipo kwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…