Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu uncle Ben ulipoteaga wapi?Sio kwamba state apparatus ndio zimemfanya Raila achelewe Bomas? Watakuwa wanafanya Presidential rehearsal
Ama ni namna gani?
Nawapeni ukweli mnaona nahangaika nakwambia hivi tena narudia RAO is going to be declared as the president of Kenya. Hutaki unapita vile kiroho safiUnahangaika sana haya katage hilo yai sasa.
Nipo ndugu yangu Copenhagen Dn, niaje arifuMkuu uncle Ben ulipoteaga wapi?
Akishinda nna zawadi yako mkuuNawapeni ukweli mnaona nahangaika nakwambia hivi tena narudia RAO is going to be declared as the president of Kenya. Hutaki unapita vile kiroho safi
50.67 RAOAkishinda nna zawadi yako mkuu
mhhhhh naona kivumbi kinakuja.. agent wa azimio kakatiwa matangazo hahah
Ahahahaaa hajui kwamba ana deal na wahuni?Ruto na Kenyata wanawaza kuwa wamechezea mchezo huyo mzeeOdinga tayari amekataa Matokeo kama kawaida yake