Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Kuna kitu hakipo sawa pahala. I pray for safety for everyone especially Wafula Wanyonyi Chebukati wasije wakamchinja mzee wa watu like they did to Chris Msando.
 
Chief agency wa AZIMIO anasema Bomas of Kenya is the crime scene.
Toka asubuhi wanamsaka IEBC chairman haonekani ili wapate form no 34C.

Ukimsikiliza huyu jamaa utaelewa Azimio wameshaanza kuwa na wasiwasi na hawakubaliani na matokeo.
Sure sure. Azimio kama wanahisi wamepigwa.
 
Ila uchaguzi wa kenya una amsha amsha jamani.
Imagine Mimi mbongo nipo nasubiri matokeo kwa hamu kuona what's going to happen.

Huku Tz huwa tunajua tu CCM itatangazwa mshindi .

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ccm wameshajiapiza eti watatawala tz kwa 100 years from now . unakaa unajiuliza hivi hawa ni wazima kweli!
 
Odinga's chief agent " Our candidate won't come here until we have verified the authenticity of the results of this election"

Nimeskia hiyo from Citizen TV.

What does that imply?
 
Nikikumbuka uchaguzi Zanzibar ulivyofutwa na Jecha na kutokuonekana mwenyekiti wa IEBC huku JK akiwa huko napata mashaka sana. Jamaa wameita watu ili watangaze matokeo wanashindwaje kutangaza sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…