MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Balaa tupu aisee. Naona mzee kisukari kitakua kimepanda wamemzuia asije ukumbini.Oooooooh Baba amepigwa alooo.
Wakala wake mkuu analalamika hapa. Case closed😊😊😊😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Balaa tupu aisee. Naona mzee kisukari kitakua kimepanda wamemzuia asije ukumbini.Oooooooh Baba amepigwa alooo.
Wakala wake mkuu analalamika hapa. Case closed😊😊😊😊
Kuna mvutano huko ndani. Kuna dalili za watu kugomea matokeo.POOR TIME MANAGEMENT. Kutoka saa 9 mpaka 11 hakuna hata taarifa ya kwann wamechelewa.
Hii ni sensitive issue mkuuPOOR TIME MANAGEMENT. Kutoka saa 9 mpaka 11 hakuna hata taarifa ya kwann wamechelewa.
Sure sure. Azimio kama wanahisi wamepigwa.Chief agency wa AZIMIO anasema Bomas of Kenya is the crime scene.
Toka asubuhi wanamsaka IEBC chairman haonekani ili wapate form no 34C.
Ukimsikiliza huyu jamaa utaelewa Azimio wameshaanza kuwa na wasiwasi na hawakubaliani na matokeo.
Ila uchaguzi wa kenya una amsha amsha jamani.Kuna mvutano huko ndani. Kuna dalili za watu kugomea matokeo.
Ccm wameshajiapiza eti watatawala tz kwa 100 years from now . unakaa unajiuliza hivi hawa ni wazima kweli!Ila uchaguzi wa kenya una amsha amsha jamani.
Imagine Mimi mbongo nipo nasubiri matokeo kwa hamu kuona what's going to happen.
Huku Tz huwa tunajua tu CCM itatangazwa mshindi .
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kuna kitu hakipo sawa pahala. I pray for safety for everyone especially Wafula Wanyonyi Chebukati wasije wakamchinja mzee wa watu like they did to Chris Msando.
RAO= Raila Amollo OdingaRAO=RAILA ODINGA
Raila Amoro OdingaHivi mkuu Rao ni Jina lake kweli limaanisha Nini?
Hivi Jecha yupo?Nikikumbuka uchaguzi Zanzibar ulivyofutwa na Jecha na kutokuonekana mwenyekiti wa IEBC huku JK akiwa huko napata mashaka sana. Jamaa wameita watu ili watangaze matokeo wanashindwaje kutangaza sasa.