Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Odinga's chief agent " Our candidate won't come here until we have verified the authenticity of the results of this election"

Nimeskia hiyo from Citizen TV.

What does that imply?

My prayers to Chebukati and co team,

Bila shaka wanaweza kupigana tena hawa jamaa zetu kama kawaida yao.

Let's wait and see
 
Namkubali Odinga ila ana matatizo, alisusa debate ,Leo anasusa tena kuhudhuria ,huyu mzee ana matatizo siyo bure
 
Nikikumbuka uchaguzi Zanzibar ulivyofutwa na Jecha na kutokuonekana mwenyekiti wa IEBC huku JK akiwa huko napata mashaka sana. Jamaa wameita watu ili watangaze matokeo wanashindwaje kutangaza sasa.
Mkuu JK yupo upande wa nani kati ya hao wawili?
 
Chebukati anasubiri giza, afanye yake alale mbele.
Inawezekana Ruto amekataa kucompromise na yeyote na Raila anaamini zamu yake sasa.
 
Na zile ngonjera za UWAZI this Kenya that zinaweza zikwa Leo kama huu utoto wa IEBC utaendelea.

Africa haichekani sana kwenye mambo ya mapokeo hadi wanakwaya makoo yamekauka.😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…