MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Sina taarifa zake mkuu. Ila JK inasemekana yupo kwa jiraniHivi Jecha yupo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina taarifa zake mkuu. Ila JK inasemekana yupo kwa jiraniHivi Jecha yupo?
Odinga's chief agent " Our candidate won't come here until we have verified the authenticity of the results of this election"
Nimeskia hiyo from Citizen TV.
What does that imply?
Baba ako wapi?Muda wako wa kulia upo karibu kijana it's Rao
Mkuu JK yupo upande wa nani kati ya hao wawili?Nikikumbuka uchaguzi Zanzibar ulivyofutwa na Jecha na kutokuonekana mwenyekiti wa IEBC huku JK akiwa huko napata mashaka sana. Jamaa wameita watu ili watangaze matokeo wanashindwaje kutangaza sasa.
na hili wakalitazameSamia kapiga simu huko kasema matokeo yasitangazwe leo mpaka Odinga awepo. Over.
Ili watu wachinjane vizuri...poor IEBCChebukati anasubiri giza, afanye yake alale mbele.
Inawezekana Ruto amekataa kucompromise na yeyote na Raila anaamini zamu yake sasa.