Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Kimeshaumana huko😂😂

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Hata huyu mwenyekiti wa tume anamatatizo sana....hafai kwa kweli...pengine hata yeye ni mkabila tu....sasa kwann utangaze muda matokeo alafu upoteee kabisa usionekane

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Usitoe shutuma bila kujua mambo. Hali imekuwa hivyo kwa sababu Raila hajataka kutokea na maajenti wake wamesema ni wao wamemwambia asije ili kwanza wapitie fomu zote na waridhike kuwa hesabu ziko sawa. Hali ya Kenya siyo kama Tanzania makosa kidogo tu yanaweza kuzua vurugu kubwa. Tume inataka kusiwepo na tention yoyote wakati wa kutangaza kwani vurugu zinaweza kutokea.
 
From what the Azimio people are doing, it's clear that the hustler has won. This is so unbelievable. Serikali imemsupport Odinga ameshindwaje aisee. Inafikirisha.
Death Kissing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…