binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Zamu ya kufanya nini? Kama kura hazijamtosha? Unless atuambie kuna kitu gani anakifahamu!Chebukati anasubiri giza, afanye yake alale mbele.
Inawezekana Ruto amekataa kucompromise na yeyote na Raila anaamini zamu yake sasa.