Kool the gang
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 497
- 1,465
Tume yetu hovyo, inaongozwa na failures/rejects
Bado takribani vituo 40,000 matokeo hayajehasabiwa kuwa mpole,Odinga atamucha Ruto mbali sana.Mkuu wapii? Jamaa Raila atangaze mapema tu tayari keshashindwa Ili alinde heshima yake. Ila ni vizuri kujifariji. Naapa kama Raila atashinda huu uchaguz natembea uchi hadharani siku tatu mfululizo halafu najiua
Tony254 Ncha Kali Myahudi Jr II Chaliifrancisco Prince Kunta ras jeff kapita RRONDO Magonjwa Mtambuka
Usilinganishe Tanzania na nchi yenye ukabila kama Kenya. Tanzania in habari nyingine. Tena ukome kabisa.Wewe unayejua umefikia wapi?,unaongelea ya Kenyans who sacrifice a lot to achieve tunayayaona sasa, matokeo ya general election yanaonekana live dunia nzima!,Tanzania ziiiii matokeo yake mpaka yapikwe kwanza, Mr.kikwete anaona aibu kubwa kwanza ameenda kufanya nini kule?,hakuna hata kura moja itakayoibiwa, maana Ile tume ina wafanyakazi wake kwa level zote sio sisi vihiyo tume ipo taifani tu,na level nyingine uchaguzi utasimamiwa na political carders wa chama dola!
Hiyo difference haiwezi kutokea KamweMpaka sasa raila Odinga ana kura 3,467,974
Ruto ana 2,006,801
Kuamini kuwa wapinzani tu ndo hushinda kwenye kura ni uzwazwa.Hata kupitia ujinga ipo jambo
Mzee acha ujinga tukiwa na system inayojitegemea ya tume na polling hakuna nzi wa CCM ataibuka mshindi. CCM itakutana na a very sharp downfall.Huu ndio upumbavu. Kila kitu kina utaratibu wake. Ukishakuwa mwanasiasa na ukasajili chama tunategemea utaongoza umma kwenye maono yako. Sasa unataka nchi nzima wote tuwe wanasiasa ? We jinga nini. Ebu niambie ni mgombea yupi wa upinzani kwa Tanzania ambaye unategemea aje amshinde mgombea wa CCM 2025 ? Wote waliopo ni wasaka tonge tu. Narudia tena kusema kwamba CCM itaendelea kuongoza Tanzania mpaka tupate chama mbadala wa CCM.
Source of this information?Bado takribani vituo 40,000 matokeo hayajehasabiwa kuwa mpole,Odinga atamucha Ruto mbali sana.
Na mbaya zaidi vituo vilivyohesabiwa Vingi ni ngome ya Ruto
Uko sahihi ndugu yanguSijui kuna binadamu Mtanzania anaweza kusimama na akajenga hoja ya kukupinga. Oppositions kwa hii Tz hatuwapata,wafia tumbo hawa tulionao bynow
Source of this information?Bado takribani vituo 40,000 matokeo hayajehasabiwa kuwa mpole,Odinga atamucha Ruto mbali sana.
Na mbaya zaidi vituo vilivyohesabiwa Vingi ni ngome ya Ruto
Muulize hiyo taarifa ameitoa wapi. Usiseme hiyo diff haiwezi kuwepoHiyo difference haiwezi kutokea Kamwe
Utatembea uchi na kujiua kwa bangi zakoMkuu wapii? Jamaa Raila atangaze mapema tu tayari keshashindwa Ili alinde heshima yake. Ila ni vizuri kujifariji. Naapa kama Raila atashinda huu uchaguz natembea uchi hadharani siku tatu mfululizo halafu najiua
Tony254 Ncha Kali Myahudi Jr II Chaliifrancisco Prince Kunta ras jeff kapita RRONDO Magonjwa Mtambuka
Utatembea uchi kwa bangi na viroba unavyokunywa na sio matokeo ya uchaguzi wa KenyaMkuu wapii? Jamaa Raila atangaze mapema tu tayari keshashindwa Ili alinde heshima yake. Ila ni vizuri kujifariji. Naapa kama Raila atashinda huu uchaguz natembea uchi hadharani siku tatu mfululizo halafu najiua
Tony254 Ncha Kali Myahudi Jr II Chaliifrancisco Prince Kunta ras jeff kapita RRONDO Magonjwa Mtambuka
Tanzania ikifikia uchaguzi unafanywa namna hii kama Kenya online with real time information then ndio ntainuka kwenda kupiga kura yangu.Angalau kuna uchaguzi wa huru na haki. Ukifuatilia Tv zote za Kenya hilo la kutendeka kwa haki katika uchaguzio linajitokeza maana almost kila kituo kuna media huru inatangaza live!
Umejitoa wapi hii taarifa. Niko kwenye tv za Kenya zote ña channel zake sijaona hii kituHiyo difference haiwezi kutokea Kamwe
Pamoja na kuniita mjinga hiyo ndio point yangu kwamba vyama vya upinzani vilivyopo sasa Tanzania havieleweki lakini tukipata chama mbadala wa CCM Mimi nitakuwa wa kwanza kukiunga mkono. Ukweli ni kwamba CCM ilishachoka lakini tumpe nani sasa ?Mzee acha ujinga tukiwa na system inayojitegemea ya tume na polling hakuna nzi wa CCM ataibuka mshindi. CCM itakutana na a very sharp downfall.
Tuachane na makaratasi uone.
Chama cha upinzani kinaweza anzishwa na kikaungwa mkono na wananchi vizuri tu. Ila sio kama CHADEMA ambao mchana wanaikandia CCM usiku wanakula pamoja chakula cha usiku Kempinski Hotel wakiwang'ong'a wananchi.