Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
I feel sorry for Mr Raila odinga that he's not going to win this election actually his father was unlucky against the Mafia Jomo Kenyatta and him also is unlucky as this election going to be five in row without winning.
 
Mkuu wapii? Jamaa Raila atangaze mapema tu tayari keshashindwa Ili alinde heshima yake. Ila ni vizuri kujifariji. Naapa kama Raila atashinda huu uchaguz natembea uchi hadharani siku tatu mfululizo halafu najiua

Tony254 Ncha Kali Myahudi Jr II Chaliifrancisco Prince Kunta ras jeff kapita RRONDO Magonjwa Mtambuka
Bado takribani vituo 40,000 matokeo hayajehasabiwa kuwa mpole,Odinga atamucha Ruto mbali sana.
Na mbaya zaidi vituo vilivyohesabiwa Vingi ni ngome ya Ruto
 
Wewe unayejua umefikia wapi?,unaongelea ya Kenyans who sacrifice a lot to achieve tunayayaona sasa, matokeo ya general election yanaonekana live dunia nzima!,Tanzania ziiiii matokeo yake mpaka yapikwe kwanza, Mr.kikwete anaona aibu kubwa kwanza ameenda kufanya nini kule?,hakuna hata kura moja itakayoibiwa, maana Ile tume ina wafanyakazi wake kwa level zote sio sisi vihiyo tume ipo taifani tu,na level nyingine uchaguzi utasimamiwa na political carders wa chama dola!
Usilinganishe Tanzania na nchi yenye ukabila kama Kenya. Tanzania in habari nyingine. Tena ukome kabisa.
 
Huu ndio upumbavu. Kila kitu kina utaratibu wake. Ukishakuwa mwanasiasa na ukasajili chama tunategemea utaongoza umma kwenye maono yako. Sasa unataka nchi nzima wote tuwe wanasiasa ? We jinga nini. Ebu niambie ni mgombea yupi wa upinzani kwa Tanzania ambaye unategemea aje amshinde mgombea wa CCM 2025 ? Wote waliopo ni wasaka tonge tu. Narudia tena kusema kwamba CCM itaendelea kuongoza Tanzania mpaka tupate chama mbadala wa CCM.
Mzee acha ujinga tukiwa na system inayojitegemea ya tume na polling hakuna nzi wa CCM ataibuka mshindi. CCM itakutana na a very sharp downfall.

Tuachane na makaratasi uone.

Chama cha upinzani kinaweza anzishwa na kikaungwa mkono na wananchi vizuri tu. Ila sio kama CHADEMA ambao mchana wanaikandia CCM usiku wanakula pamoja chakula cha usiku Kempinski Hotel wakiwang'ong'a wananchi.
 
Well after this Election Odinga must accept the fact that he and his father are unluckiest people ever to be elected as president in Kenya.
 
Mkuu wapii? Jamaa Raila atangaze mapema tu tayari keshashindwa Ili alinde heshima yake. Ila ni vizuri kujifariji. Naapa kama Raila atashinda huu uchaguz natembea uchi hadharani siku tatu mfululizo halafu najiua

Tony254 Ncha Kali Myahudi Jr II Chaliifrancisco Prince Kunta ras jeff kapita RRONDO Magonjwa Mtambuka
Utatembea uchi na kujiua kwa bangi zako
Mkuu wapii? Jamaa Raila atangaze mapema tu tayari keshashindwa Ili alinde heshima yake. Ila ni vizuri kujifariji. Naapa kama Raila atashinda huu uchaguz natembea uchi hadharani siku tatu mfululizo halafu najiua

Tony254 Ncha Kali Myahudi Jr II Chaliifrancisco Prince Kunta ras jeff kapita RRONDO Magonjwa Mtambuka
Utatembea uchi kwa bangi na viroba unavyokunywa na sio matokeo ya uchaguzi wa Kenya
 
Angalau kuna uchaguzi wa huru na haki. Ukifuatilia Tv zote za Kenya hilo la kutendeka kwa haki katika uchaguzio linajitokeza maana almost kila kituo kuna media huru inatangaza live!
Tanzania ikifikia uchaguzi unafanywa namna hii kama Kenya online with real time information then ndio ntainuka kwenda kupiga kura yangu.

Vinginevyo siwezi hangaika na kujichosha na uchaguzi feki halafu media zinasisitiza eti uchaguzi ni haki ya kumchagua raisi umpendaye.
 
Mambo yanaelekea kubadilika tofauti na hapo kabla kumuona rais ajae Raila Omolo Odinga na sasa ni Samoei Ruto ndie anaongoza .bad news zaidi kwa kambi ya Raila ni Jimbo La Rais anaemaliza muda Wake Kenyatta kushinda mbunge wa Chama cha Ruto
 
Mzee acha ujinga tukiwa na system inayojitegemea ya tume na polling hakuna nzi wa CCM ataibuka mshindi. CCM itakutana na a very sharp downfall.

Tuachane na makaratasi uone.

Chama cha upinzani kinaweza anzishwa na kikaungwa mkono na wananchi vizuri tu. Ila sio kama CHADEMA ambao mchana wanaikandia CCM usiku wanakula pamoja chakula cha usiku Kempinski Hotel wakiwang'ong'a wananchi.
Pamoja na kuniita mjinga hiyo ndio point yangu kwamba vyama vya upinzani vilivyopo sasa Tanzania havieleweki lakini tukipata chama mbadala wa CCM Mimi nitakuwa wa kwanza kukiunga mkono. Ukweli ni kwamba CCM ilishachoka lakini tumpe nani sasa ?
 
Back
Top Bottom