macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kimenuka. Baadhi ya maafisa wa tume wakana matokeoWaambieni wamtangaze wanangoja nini sasa!!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimenuka. Baadhi ya maafisa wa tume wakana matokeoWaambieni wamtangaze wanangoja nini sasa!!??
Kimenuka. Tume ya uchaguzi yapasuka vipande viwili. Serena hotel kuna wajumbe wanasema hawahusiki na matokeo.Raila kapasuka.
Poleni Sana wafuasi wake.
Jamaa Hana Bahati
kapewa ngumi moja ya kichwa kaanguka chini na kijijihuyu alievaa rubega ya kimasai mbona anajiamini sana..
kenya kiboko sana yaani ahat demu wa kikenya mgumugumu tu ona AkkottheNaona kinanuka hapo bomas watu wanarusha viti
Bomas panatulizwa kwanzaUpdates jamani kinaendelea nini Bomas?
Unamaanisha maafisa wa tume ama mawakala wa Odinga?Kimenuka. Baadhi ya maafisa wa tume wakana matokeo