Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weee jamaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Naona wanapigana ngumi[emoji16][emoji16][emoji16].... Kudadeki si ingekuja tz kmmmke ningemrukia jecha ngumi za uso, mahera angekua amelazwa sasahvi
Pls check it up on YouTubethis video doesnt have sound.
hawa walifanya press Serena mi ndo nawaona ni wakweli,chibukati anataka kuchakachuaSoon mtaani kinanuka
Acha wachinjane tu mibaguzi sana kenge hyoNilitabiri hawa wakenya wasipokatana mapanga basi hawatakuja kupigana tena
Tukiiga demokrasia ya kimagharibi ni wazi itatushinda. Hilo liko wazi kabisa.Kwaiyo Afrika demokrasia ishatushinda kabisa?
Serena ni wale wanaopinga ndiyo wapo.KTN wanasema wanaenda kutangaza Serena hotel