Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Bado takribani vituo 40,000 matokeo hayajehasabiwa kuwa mpole,Odinga atamucha Ruto mbali sana.
Na mbaya zaidi vituo vilivyohesabiwa Vingi ni ngome ya Ruto
Mkuu nakulia timing mida ya jioni. Yani nitakuchekaa wakati huo nafungia champagne za kutosha. Believe me Ruto bin Samoei Ndo Rais wa Kenya
 
Ila Ruto na Kenyatta wamemchezea shere Odinga
 
Ruto hashindi 😂😂😂 hamtaamini mtakachokiona by the end of the election.
Hahaha GT mutu wangu. Heshima kwako. Mimi nimebobea Sana katika maswala ya geopolitics hasa Africa mashariki na maziwa makuu kwa jumla. Sikurupuki nafanya research Sana kabla sijatabiri. Huu uchaguz nilijichimbia chimbo nikifanya research Kali sana na nikacollect data za uhakikia kutoka wadau mbalimbali nikajiridhisha Ruto atashinda. Na nikweli research hazidanganyi kama umetuliza akili na kuanalyze data kitaalam. Believe me Ruto will win this elekshen.

Nyamizi
 
Kura zilizopigwa ni 12M

Zilizohesabiwa ni 1.5M

Muda wa Ruto kujihakikishia ushindi bado sana.

Kwa vyovyote vile huu uchaguzi lazima ashinde Odinga.
Kwa vyovyote vile ni lazima Odinga ashinde?? Hiyo democracy mnayoiimba humu kuhusu uchaguzi wa Kenya ni ipi?

Kwa hii mentality , ndiomaana kwa vyovyote vile huwa lazima CCM ishinde.
 
Kwa vyovyote vile ni lazima Odinga ashinde?? Hiyo democracy mnayoiimba humu kuhusu uchaguzi wa Kenya ni ipi?

Kwa hii mentality , ndiomaana kwa vyovyote vile huwa lazima CCM ishinde.
Waaaapiiiiii
 
Africa yetu hii ni ngumu kuwa na Democracy ya kweli, ingawa wakenya wanaweza kuwa na uelewa zaidi kwa ukanda wa Africa Mashariki, Lakini inategemea mgombea anayeungwa mkono na Rais Uhuru Kenyatta.
 
Africa yetu hii ni ngumu kuwa na Democracy ya kweli, ingawa wakenya wanaweza kuwa na uelewa zaidi kwa ukanda wa Africa Mashariki, Lakini inategemea mgombea anayeungwa mkono na Rais Uhuru Kenyatta.
Democracy haijawahi kuwepo Africa, na haitakuja kutokea kwa karne hii.
 
Wote hao million 3 wamepiga kura. Je unajua turn up ya WaTu aliopiga kura ni 60percent kitaifa.Mwongwlee ruto pia Rift valley ambako wapiga kura ni wengi kuliko Huko Kwa odinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…