Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Aisee ukiangalia ile ramani kura imepigwa kikabila.Kazi ipo. Ila inategemea kura za kambi ya nani zilizobaki kuhesabiwa. Hapa watabiri washajua nani atakuwa Rais.
Sasa sijui imebaki kambi ya nani kubwa