Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Africa yetu hii ni ngumu kuwa na Democracy ya kweli, ingawa wakenya wanaweza kuwa na uelewa zaidi kwa ukanda wa Africa Mashariki, Lakini inategemea mgombea anayeungwa mkono na Rais Uhuru Kenyatta.
Kwa kenya urais unategemea kura za wakenya na atakayeshinda ni Rutto
 
Mkuu nakulia timing mida ya jioni. Yani nitakuchekaa wakati huo nafungia champagne za kutosha. Believe me Ruto bin Samoei Ndo Rais wa Kenya
Matokeo yakija kuwa tofauti wewe utakuwa mmoja kati ya watu watakaoumizwa sana na haya matokeo kuliko hata Ruto mwenyewe. Kwenye siasa za Kenya lolote linawezekana.
 
Kweli Ruto akishindwa hatakubali kweli yule maana mbishi kweli kweli odinga kashazoea hizi hali.
Ruto ana mashabiki vijana na anapenda fujo. Akishindwa itakuwa ni margin ndogo na atakataa, mzee Odinga akishindwa hata akikataa nguvu za kukimbizana hana na mashabiki wake sio hustlers fujo yao ina nafuu kuliko Ruto
 
Screenshot_2022_0810_131248.jpg


20220810_130919.jpg
 
dah,,! humu jukwaani members wengi hata waliowaikuishi Kenya walituaminisha Odinga atashinda mapema asubuhi kumbe ni tofauti mpambano ni mkali sana.
 
What is the most reliable source ya hizi matokeo?
 
Hizo percentange mbona zina walakini? Kwamba watu wawili tu asilimia zao ni zaidi ya 100% hapo bado hujawaweka wale wawili na vi point vyao vya %.Naangalia hapa Live Citizen hawajafikisha hiyo idadi ya kuhesabu kura.
Typing error, raila ni 47.1
 
Fujo zilizuka siku ya Jumatatu Agosti 8 katika ukumbi wa CDF,Eldas inayotumika na IEBC,kama kituo cha kuhesabia kura
Video hiyo iliyosambazwa katika mitandao ya kijamii,imeonyesha jinsi watu walivyokimbilia usalama wao.
Halikadhalika,milio kadhaa ya risasi ilisikika wakati wa purukushani hiyo,katika Kaunti ya Wajiri.
 
Back
Top Bottom