Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
20220815_185624.jpg
 
Ila huyu Ruto watanzania tutakoma. Kile kiburi chetu cha kugoma kuwauzia mahindi sijui kitaendelea vipi. Ruto inasemekana ni mkulima wa mahindi mkubwa sana ameshika maeneo Kongo DR na anajinasibu watanzania tukigoma stock anayo. Shida inakuja atayapitishia wapi maana Uganda my wetu anaweza mbania sana. Natamani JPM angekuwepo nikashuhudia ligi ya JPM na RUTO hakika tungekunjana mashati na wakenya day uno. Nawasi wasi PAKA yeye atamsapoti Ruto ambaye namuona ni Muhima kutoka Rift Valley.
Asante sana .... umeelezea vizuri mnoo . Watu wengi hawamjui Rutto kabisa
 
Pongezi nyingi kwa Ruto, President elect.
he really deserve.
Wakenya wamechagua chaguo sahihi kabisa.
 
Nitoe pole kwa timu RAO. Kwa kipekee nina pole yake #cocastic# ameonyesha huruma ya ndani sana.
Ukweli nimemtengea kitu
Ni mkweli moyoni.
 
Ila huyu Ruto watanzania tutakoma. Kile kiburi chetu cha kugoma kuwauzia mahindi sijui kitaendelea vipi. Ruto inasemekana ni mkulima wa mahindi mkubwa sana ameshika maeneo Kongo DR na anajinasibu watanzania tukigoma stock anayo. Shida inakuja atayapitishia wapi maana Uganda my wetu anaweza mbania sana. Natamani JPM angekuwepo nikashuhudia ligi ya JPM na RUTO hakika tungekunjana mashati na wakenya day uno. Nawasi wasi PAKA yeye atamsapoti Ruto ambaye namuona ni Muhima kutoka Rift Valley.
Jamaa ana mwili mkubwa na akili kisoda na hajui maana ya kutokuingilia siasa za ndani za nchi nyingine ndio hizi Sasa [emoji1][emoji1][emoji1].Odingo oyeeeeeeee [emoji1][emoji1]

PK Yuko anacheka saaaaaaaana [emoji1][emoji1]
Screenshot_20220815-185918.jpg
 
Ruto huyu alitewatukana wakongo juzi serikali ikamkana ndio anamilik mashamba ya mahindi Kongo!?
Na hatukusikia ishu za mahindi Kongo.
kongo DR ni kama muembe wako wa uani ukitaka kuchuma maembe unachuma huna hela tuu ila wenye hela chafu kongo DR wanaichezea mbele na Nyuma na hata wakongoman wametulia kama hawapo vile wanaanzishiwa migogoro wanachapa wao kwa wao wenzao wanajichotea tuu
 
Mkuu,naona unajaribu kulinganisha watu tofauti kabisa na mazingira tofauti, yani maji na mafuta.

Kwanza Lowassa alikuwa amekwishatupwa nje ya mfumo kitambo sana, vipi Uhuru alikuwa amemtupa Ruto nje ya mfumo?

UhuRuto walikuwa na mpango wa kupishana Ikulu kama marafiki au washirika, unadhani Wakenya wangekubali huo ujinga? Wangepigana na kuuana.

Unadhani ni kwanini Wakenya wamemkataa Raila? Huoni kwamba Ruto ameshinda kwa kura za hasira kwasababu walikuwa wanamuona Babu Raila ni ProjectUhuru?

Nakurudisha Tanzania, hivi unajua ni kwanini WanaCCM na hata Watanzania walikuwa wanamchukia Membe?😂

Nakurudisha tena Tanzania, unaamini kabisa Magufuli alimshinda Lowassa 2015?😂

Naomba nikuache ujinyonge na kamba uliyojinunulia.

Sina tatzo na ushindi wake kuna mtu amesema anamiliki hekta za mashamba ya mahindi Kongo najiulza anapata ujasiri wakumilik ardhi Kongo .
Kongo DR ni shamba la bibi sema mimi na ww hatuna pesa chafu tungekuwa nazo saa hii tungekuwa PARIS tunagonga mvinyo huku tukituma transactions makamanda walio msituni wanatuchotea mali. Hatuna hela mkuu
 
Back
Top Bottom