Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Mkuu uchaguzi wa Nchi gani hapa Duniani hauna maigizo?Labda huo uchaguzi usiwe wa maigizo, kama demokrasia ikiheshimiwa ruto anashinda mapema tu, ila kama uchaguzi utakuwa wa magumashi kwa kuwa aliyepo kitini anampigia kampeni yule mwingine akiamua kufanya manuva atafanya tu kwa kuwa nguvu bado anazo. Demokrasia aiachwe ichukue mkondo wake
Upo sahihi kabisaLabda huo uchaguzi usiwe wa maigizo, kama demokrasia ikiheshimiwa ruto anashinda mapema tu, ila kama uchaguzi utakuwa wa magumashi kwa kuwa aliyepo kitini anampigia kampeni yule mwingine akiamua kufanya manuva atafanya tu kwa kuwa nguvu bado anazo. Demokrasia aiachwe ichukue mkondo wake