Endelea kusubiria citizenHizi number unatoa wapi? Sote tunaangalia live mbona hawajafikia hii idadi ya kuhesbau kura.Unataka kisema Citizen wako nyuma kiasi hiki?
Hao wapo nyuma, kura zishafka 90%Hizi data mnatoa wp mkuu, mi nafatlia Citizen live hapa na Ktn ndio kwanza
Ruto 1,844,749
Raila 1,823607
Hizi hesabu zinachekeshaLive Updates
Ruto 4,778.458(51.7)
Raila 4,020,865(47.4)