Zuckerman
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 1,397
- 2,469
Now 25kFakin deep state trying to rigg the elekshen
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Now 25kFakin deep state trying to rigg the elekshen
[emoji2][emoji2][emoji2] mkuu Raila anafanya comebackFakin deep state trying to rigg the elekshen
Tumekutahadharisha mapema sana usilete mambo ya kujiapiza.Fakin deep state trying to rigg the elekshen
Kisheria wana siku 7 ya kutangaza. Labda kesho kwasababu kuna maeneo bado yanapiga kura leoIEBC watatoa final tally lini?
Mzaha mzaha mtu anapigiwa comeback ya hatariSasa hivi Gap ni elfu 26
Now 23kTofauti ni 24 elfu kwa sasa
Itarudi mpaka sifuri na ataanza kukimbizwa.Kisumu bado haijaitika hapoNow 23k
Hivi Mombasa tayariItarudi mpaka sifuri na ataanza kukimbizwa.Kisumu bado haijaitika hapo
Watu walifurahi wakati zinahesabiwa strong hold ya Ruto,sasa zinaingia za Mzee wa kitendawiliMajimbo gani hayo zinashuka kwa kasi ivo!!
Hizi data mnatoa wp mkuu, mi nafatlia Citizen live hapa na Ktn ndio kwanzaLive updates:
Ruto 4,543,347(51.4)
Raila 3,874,985(49.1)
CITIZEN TV KENYAWhat is the most reliable source ya hizi matokeo?
Itarudi mpaka sifuri na ataanza kukimbizwa.Kisumu bado haijaitika hapo
Mi pia nafatilia aisee, nafikiri hizo taarifa zake ni za kupika. Ila naona Raila anarudi kwa kasi ya ajabu, anaweza kumshusha jamaa muda wwte.Hizo percentange mbona zina walakini? Kwamba watu wawili tu asilimia zao ni zaidi ya 100% hapo bado hujawaweka wale wawili na vi point vyao vya %.Naangalia hapa Live Citizen hawajafikisha hiyo idadi ya kuhesabu kura.
Fujo zilizuka siku ya Jumatatu Agosti 8 katika ukumbi wa CDF,Eldas inayotumika na IEBC,kama kituo cha kuhesabia kura
Kulingana na chawa Kikwajuni One vurumai zimetokea kituo cha kuhesabia kura Jumatatu Agosti 8.Kazi itakuwa imeanza ya kubadili matokeo
Mpaka sasa wenye inji washajua mshindi ni nani. Uhuru K ametulia sasaMi pia nafatilia aisee, nafikiri hizo taarifa zake ni za kupika. Ila naona Raila anarudi kwa kasi ya ajabu, anaweza kumshusha jamaa muda wwte.