Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Game over,ruto akifika 5100000+ game tayari Screenshot_20220810-134931_1.jpg
Screenshot_20220810-134931_1.jpg
 
Hizo percentange mbona zina walakini? Kwamba watu wawili tu asilimia zao ni zaidi ya 100% hapo bado hujawaweka wale wawili na vi point vyao vya %.Naangalia hapa Live Citizen hawajafikisha hiyo idadi ya kuhesabu kura.
Mi pia nafatilia aisee, nafikiri hizo taarifa zake ni za kupika. Ila naona Raila anarudi kwa kasi ya ajabu, anaweza kumshusha jamaa muda wwte.
 
Fujo zilizuka siku ya Jumatatu Agosti 8 katika ukumbi wa CDF,Eldas inayotumika na IEBC,kama kituo cha kuhesabia kura

Kazi itakuwa imeanza ya kubadili matokeo
Kulingana na chawa Kikwajuni One vurumai zimetokea kituo cha kuhesabia kura Jumatatu Agosti 8.

Kulingana na chawa Jasmoni Tegga kazi ya kubadili matokeo itakuwa imeanza siku hiyo. Unabadili vipi matokeo ambayo hayapo?

Kura zimepigwa Jumanne Agosti 9...hivi Watanzania tuna tatizo gani? Unahusisha vipi haya matukio mawili? Nadhani kuna nati zimelegea kichwani.
 
Mi pia nafatilia aisee, nafikiri hizo taarifa zake ni za kupika. Ila naona Raila anarudi kwa kasi ya ajabu, anaweza kumshusha jamaa muda wwte.
Mpaka sasa wenye inji washajua mshindi ni nani. Uhuru K ametulia sasa
 
Back
Top Bottom