Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
According to Citizen TV RAO anaongoza kwa zaidi ya kura 145,000!
 
Hapo mkuu wangu kilichokuchekesha ni Nini sasa? Subiri tu mida ya jioni
Nimecheka kwakuwa mpaka sasa kuna source zaidi ya tano tofauti na zote matokeo tofauti.Acha tusubiri mpaka jioni kama ulivyosema,tutajua mbivu na mbichi
 
Wewe ni mpumbavu? Huoni hata media zipo live Ila matokeo kila mtu na yake?
Ahsante, lakini pamoja na upumbavu wangu nimeweza kujua kwamba kupishana Kwa matokeo Kwa Sasa inategemea na umahiri, uwezo na urahisi wa wanaotangaza wanapataje hizo taarifa. Mwisho wa siku madam form wanazitumia ni zile zile majumuisho lazima yawe sawa.
 
Hapo mkuu wangu kilichokuchekesha ni Nini sasa? Subiri tu mida ya jioni
Nimecheka kwakuwa mpaka sasa kuna source zaidi ya tano tofauti na zote matokeo tofauti.Acha tusubiri mpaka jioni kama ulivyosema,tutajua mbivu na mbichi
 
According to NTV Ruto is leading over 200,000 votes against RAO!
 
Odinga ana gundu
Screenshot_2022_0810_155502.jpg
 
Ahsante, lakini pamoja na upumbavu wangu nimeweza kujua kwamba kupishana Kwa matokeo Kwa Sasa inategemea na umahiri, uwezo na urahisi wa wanaotangaza wanapataje hizo taarifa. Mwisho wa siku madam form wanazitumia ni zile zile majumuisho lazima yawe sawa.
Huoni wapo live wanatoa kulingana na IEBC?
 
Back
Top Bottom