Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Wewe ni mpumbavu? Huoni hata media zipo live Ila matokeo kila mtu na yake?Sawa, japo haujanijibu ulilenga Nini kusema system tukirejea jamaa uliyemnukuu aliyeenda mfumo na utaratibu wao wa uchaguzi.
Tanzania hakuna uchaguzHii hita nzuri sana, hakuna wizi kma tz
IEBC matokeo ya jumla.Mkuu hii umetoa chanzo kipi Kama hutojali
Kila media inafanya update yake kwa vituo tofauti , ila mwisho wa siku matokeo ni mojaWewe ni mpumbavu? Huoni hata media zipo live Ila matokeo kila mtu na yake?
Kumbe Kenya hakuna nidhamu ya matangazo na inaelekea hawana kitu kama Tcra.Anayechafua akafungiwa papo kwa papo kabla haijaleta balaa.
Nimecheka kwakuwa mpaka sasa kuna source zaidi ya tano tofauti na zote matokeo tofauti.Acha tusubiri mpaka jioni kama ulivyosema,tutajua mbivu na mbichiHapo mkuu wangu kilichokuchekesha ni Nini sasa? Subiri tu mida ya jioni
Ahsante, lakini pamoja na upumbavu wangu nimeweza kujua kwamba kupishana Kwa matokeo Kwa Sasa inategemea na umahiri, uwezo na urahisi wa wanaotangaza wanapataje hizo taarifa. Mwisho wa siku madam form wanazitumia ni zile zile majumuisho lazima yawe sawa.Wewe ni mpumbavu? Huoni hata media zipo live Ila matokeo kila mtu na yake?
Unachagua tuu ambayo haikuumiziKila media inafanya update yake kwa vituo tofauti , ila mwisho wa siku matokeo ni moja
According to NTV RAO kapitwa zaidi ya kura 240,000According to Citizen TV RAO anaongoza kwa zaidi ya kura 145,000!
Nimecheka kwakuwa mpaka sasa kuna source zaidi ya tano tofauti na zote matokeo tofauti.Acha tusubiri mpaka jioni kama ulivyosema,tutajua mbivu na mbichiHapo mkuu wangu kilichokuchekesha ni Nini sasa? Subiri tu mida ya jioni
So matokeo ayo japo sio rasmi kwa mjibu wa Tume baba yetu kasandaIEBC matokeo ya jumla.
Wapi wameuliza matokeo ya uongo? Si wameuliza matokeo tofauti??NTV wanauliza kwa nn media zinatoa matokeo ya uongo?
View attachment 2320129
Nimeona...According to NTV RAO kapitwa zaidi ya kura 240,000
Unareport ukiwa wapi MBNA Kama unataka tuagize wine mapemaLive updates:
Ruto 4,934.655(51.7)
Raila 4,345,880(47.1)
Odinga ana gundu
Kama wanaangalia votes Ruto atakuwa anaongoza.
Huoni wapo live wanatoa kulingana na IEBC?Ahsante, lakini pamoja na upumbavu wangu nimeweza kujua kwamba kupishana Kwa matokeo Kwa Sasa inategemea na umahiri, uwezo na urahisi wa wanaotangaza wanapataje hizo taarifa. Mwisho wa siku madam form wanazitumia ni zile zile majumuisho lazima yawe sawa.