Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Mkuu matokeo ni hard copy inapigwa picha inatumwa kwa website so matokeo yote tayari yalishapostiwa kitambo

So mtu akichakachuwa say vituo 20 vya Nairobi Ina maana ni lazima azitafute zile hard copy 20 azi replace otherwise hard copy lazima zifanane na kilichopostiwa kwa tovuti
Hata huku kwetu hard copy zilikuwepo na haikuwa chochote.
 
Kwa iyo tume Yao ishajua nani anaongoza. Sasa si hapo deep state watapata mwanya wa kumanupulate, kutamper na kuchakachua matokeo na kumnyima Ruto ushindi wake?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣acha undezi huyo Ruto wako kamwe hashindi.
Watachakachua vipi wakati matikeo yako hadharani ma Ruto anayo pia?
 
Mpambano mtamu anyway. Majirani nawaombea mpate kiongozi mnayemtaka
 
Yes ni kabila moja na Moi alikuwa mentor wa Ruto. Ruto akiwa chuoni alikuwa active sana kwenye Christian union na ndo Moi alimuona huko ndo hadi akawa member wa lobbying kwenye kambi ya Moi. Mpaka alikuwa waziri wa kilimo kama sikosei kipindi cha Moi.
Kalenjini huyo, umesema vizuri
 
Back
Top Bottom