Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Kwanza hairuhusiwi kujumlisha Wala kutangaza matokeo ya urais. Hata ukizikusanya zile form ukajumlisha ukapata majibu hairuhusiwi kutangaza au kuweka hadharani takwimu zako. Nadhani ndio msingi wa kuanzisha sheria ya takwimu.

Lengo ilikuwa na kuwezesha wizi wa kura kwa mgombea wa CCM
 

Litakufa jitu
 
Mkuu waliojiandikisha wapo mil 22 ,waliopiga kura ni mil 6.

Sasa hivi Ruto na Odinga kila mtu ana kura 1,500,000 + jumla zaidi ya kura mil 3 , so kwenye kura mil 6 zilizopigwa zimebaki kuhesabiwa kura mil 3
Walipiga kura no 12+ M ndugu hebu cheki mpaka sasa hata nusu ya vituo vya kura hawajahesabu
 
Wee hapa tunaongelea Kenya elections, CCM inatoka wapi?

Shetani anataka kila mahali mkuu. Bila hivyo hata hawa wakenya wanaopitia huu uzi wanaweza wakadhani CCM ni chama cha maana, au huwa wanashinda kihalali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…