Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
The Citizen mpishano ni kidogo ila kwa KTN ambayo ipo mbele Ruto kazidiwa over 2,500,000
 
Sema tu ingekuwa TANZANIA...na wagombea wote wa upinzani wangekuwa wamekosea kujaza form, mawakala wa vyama vyao wangekuwa hawana sifa, hakuna mtu kusubiri matokeo eneo la kuhesabia kura, wagombea wa upinzani karibu nusu wangekuwa lockup hadi sasa aaghhrrr
Kinachonishangaza mimi sio vituko wanavyofanya kwenye uchaguzi, ile vile wanavyoshangilia na kujitapa wameshinda kwa kishindo.

Ni sawa na kumfunga mgonjwa kamba mikononi na miguuni halafu umpandishe ulingoni lakini bado akuzidi nguvu na akuchape vichwa lakini refa wa pambano anaingilia kati na kukutangaza mshindi, na wewe unaanza kushangilia na kujitapa.

Hivi unaona inavyoshangaza mkuu?
 
Wakenya wana akili kuliko sisi. Tukubali tu.

Wao maneno machache vitendo Vingi na sisi Maneno meeeeengi halafu vitendo kiduuuchu. Ukitaka kujua hayo chunguza ziara za viongozi zilivyo na mikakati miiiiingi na ahadi tamu kisha njoo kwenye utekelezaji.

Mfano tu ni suala la maji na barabara maeneo ya Mbezi yaani wanapotembeleaga mawaziri wa maji na ujenzi au mkuu wa Mkoa(sasahivi Makala) wanavyoongea UTAFIKIRI MAJI NA BARABARA VINAPATIKANA KESHO KUMBE litaka weeee then wanatembelea tena kipindi cha uchaguzi/kampeni na kuja na gia Mpya ya kuwaaminisha kuwa imeshatengewa Bajeti.

TUKUPALI TU TZ BADO SANA.
Kuliko wewe na ukoo wako bhana, usitujuishe kweye upumbavu wako ebo. We mjinga nini??
 
99% of the forms REPORTING

45,750 forms out of 46,233

Our Internal Systems as compared, verified and uploaded on our Systems

WSR: 7,106,748

RAO: 6,870,784
Si kweli,idadi inazidi waliopiga kura
 
Back
Top Bottom