CUBA hukoππππππ
Walopiga kura ni wangapi? huoni kama idadi hapo inazidi idadi ya wapiga kura?Upo vizuri mkuu , kazi nyingine iyo Toka UDA official
Unafikiri Kenya kuna huo ujinga.Kuna probability ya baba kumpiga pini na kumfilisi kabisa...tunaweza tusimuone mpaka raila akifariki
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Mbona kama Odinga kashinda.
ππMmmmh
Litapigwa jitu.Kuna probability ya baba kumpiga pini na kumfilisi kabisa...tunaweza tusimuone mpaka raila akifariki
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Ruto lazima alambe nyasiKuna probability ya baba kumpiga pini na kumfilisi kabisa...tunaweza tusimuone mpaka raila akifariki
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Sema tu ingekuwa TANZANIA...na wagombea wote wa upinzani wangekuwa wamekosea kujaza form, mawakala wa vyama vyao wangekuwa hawana sifa, hakuna mtu kusubiri matokeo eneo la kuhesabia kura, wagombea wa upinzani karibu nusu wangekuwa lockup hadi sasa aaghhrrr
Kuliko wewe na ukoo wako bhana, usitujuishe kweye upumbavu wako ebo. We mjinga nini??Wakenya wana akili kuliko sisi. Tukubali tu.
Wao maneno machache vitendo Vingi na sisi Maneno meeeeengi halafu vitendo kiduuuchu. Ukitaka kujua hayo chunguza ziara za viongozi zilivyo na mikakati miiiiingi na ahadi tamu kisha njoo kwenye utekelezaji.
Mfano tu ni suala la maji na barabara maeneo ya Mbezi yaani wanapotembeleaga mawaziri wa maji na ujenzi au mkuu wa Mkoa(sasahivi Makala) wanavyoongea UTAFIKIRI MAJI NA BARABARA VINAPATIKANA KESHO KUMBE litaka weeee then wanatembelea tena kipindi cha uchaguzi/kampeni na kuja na gia Mpya ya kuwaaminisha kuwa imeshatengewa Bajeti.
TUKUPALI TU TZ BADO SANA.
Raila anashinda uchaguzi huu hapatakuwa na run-off.Yaan hadi sijui nifanyeje huyu baba ashinde, hata sielewi.
Natamani mno ashinde.
Mi nilikuwa najiuliza hapaHaya matokeo yanazidi idadi ya walopiga kura.
uwe unaweka source siyo unakuja tu kutaga na kuondoka99% of the forms REPORTING
45,750 forms out of 46,233
Our Internal Systems as compared, verified and uploaded on our Systems
WSR: 7,106,748
RAO: 6,870,784
Wao ni tangu zamani. Mauaji ya kisiasa ni kama jadi yao.Kenya kuna mijitu katitili sana zaidi ya Magu
Si kweli,idadi inazidi waliopiga kura99% of the forms REPORTING
45,750 forms out of 46,233
Our Internal Systems as compared, verified and uploaded on our Systems
WSR: 7,106,748
RAO: 6,870,784
Waliopiga kura ni M14+Si kweli,idadi inazidi waliopiga kura
Kwani Naibu raisi no nani Kwa sasa?
Angalia UDA official tweeteruwe unaweka source siyo unakuja tu kutaga na kuondoka
Ruth ndio alianza usaliti. Ni kama kesi ya Kikwete na Lowassa.View attachment 2320901
Nikiangaliaga hii picha naukubali msemo rafiki Yako Ndo adui yako. Yani uhuru kamsaliti rafiki yake na kimuunga mkono adui.
Goli la mkono hahaha.Haya matokeo yanazidi idadi ya walopiga kura.