Kura kama zipo 14million plus...basi bado kura 1.4milion ambazo hawajazi sum up.. hiyo inamaanisha mshindi atakuwa na 7mill + na best looser atakuwa 6.9mill..... hapo tusubili kesho tuWanasuburi media zingine wafikie hapo. Kimsingi watakuwa wameshamjua mshindi maana kura zilizobaki ni chache mno
hadi kufikia saa 11:12 jioni hii kwa saa za Afrika mashariki
Ruto: 49.85%
Raila 49.47%
Ulivyo mjinga huweki idadi ya kura ni ngapi!?, Una unaleta ushabiki wa Simba na Yanga kwenye mambo ya msingi. Jamii forums imeingiliwa na watoto wa shule, bora shule zifumguliwe mrudi boarding.hadi kufikia saa 11:12 jioni hii kwa saa za Afrika mashariki
Ruto: 49.85%
Raila 49.47%
Baba ana hali mbaya.
william ruto
UDA
50.13%
6,595,203 Votes
raila odinga
AZIMIO
49.19%
6,471,752 Votes
Hakuna
william ruto
UDA
50.13%
6,595,203 Votes
raila odinga
AZIMIO
49.19%
6,471,752 Votes
Poa hustler,minaamini manaeno yako[emoji123]no second round,
Babu anazimia punde.
Basi kwa kuzingatia portal ya Nation, baba amepigikaKura kama zipo 14million plus...basi bado kura 1.4milion ambazo hawajazi sum up.. hiyo inamaanisha mshindi atakuwa na 7mill + na best looser atakuwa 6.9mill..... hapo tusubili kesho tu
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
amekaribia kuzimia.Baba ana hali mbaya.
Number never lie bro, lazima wataishia tu hapo.....ambapo hiyo margin ndiyo ina siri kubwa ya tume ya uchaguzi, hapo inabidi media zitulie tu kusubiri tume.....Basi kwa kuzingatia portal ya Nation, baba amepigika
Kabisa mkuu maana hadi sasa Ruto ana 6.6+m wakati Raila ana 6.4+mamekaribia kuzimia.
Mkuu ila naona Nation wameendelea na wamewazidi Citizen. Mpaka sasa WSR ana kura 6.6+m wakati RAO ana kura 6.4+mNumber never lie bro, lazima wataishia tu hapo.....ambapo hiyo margin ndiyo ina siri kubwa ya tume ya uchaguzi, hapo inabidi media zitulie tu kusubiri tume.....
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Fanyeni ujinga msimtangaze Ruto muone mtavyochinjana. Wajinga nyinyi