Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Wanasuburi media zingine wafikie hapo. Kimsingi watakuwa wameshamjua mshindi maana kura zilizobaki ni chache mno
Kura kama zipo 14million plus...basi bado kura 1.4milion ambazo hawajazi sum up.. hiyo inamaanisha mshindi atakuwa na 7mill + na best looser atakuwa 6.9mill..... hapo tusubili kesho tu

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
ruto.jpg

william ruto​

UDA

50.13%
6,595,203 Votes
odinga.jpg

raila odinga​

AZIMIO

49.19%
6,471,752 Votes
 
hadi kufikia saa 11:12 jioni hii kwa saa za Afrika mashariki

Ruto: 49.85%

Raila 49.47%
Ulivyo mjinga huweki idadi ya kura ni ngapi!?, Una unaleta ushabiki wa Simba na Yanga kwenye mambo ya msingi. Jamii forums imeingiliwa na watoto wa shule, bora shule zifumguliwe mrudi boarding.
 
Kenya yapata Rais Mpya William Ruto, baada Kumshinda mshindani wake Raila Odinga kwa tofauti ya kura 27000


 
Siombei, ila ninaona kuna dalili kubwa sana ya kutokea kwa vurugu kwa majirani zetu. Dalili za waziwazi kabisa. Ngoja tuone ila lazima wazichape, na wasirudie tena huu upuuzi wa kila mtu ahesabu na kupost.
 
Number never lie bro, lazima wataishia tu hapo.....ambapo hiyo margin ndiyo ina siri kubwa ya tume ya uchaguzi, hapo inabidi media zitulie tu kusubiri tume.....

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Mkuu ila naona Nation wameendelea na wamewazidi Citizen. Mpaka sasa WSR ana kura 6.6+m wakati RAO ana kura 6.4+m
 
Vijana wa Kenya wamezubaa sana. Je ! Nchini humo hakuna Wambea , chawa , au wazee wa za ndaani kabisa?

Ingekuwa bongo kola chawa na wambea wote habari za nani kashinda zimgekuwa tayari
 
Back
Top Bottom