Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Siombei, ila ninaona kuna dalili kubwa sana ya kutokea kwa vurugu kwa majirani zetu. Dalili za waziwazi kabisa. Ngoja tuone ila lazima wazichape, na wasirudie tena huu upuuzi wa kila mtu ahesabu na kupost.
Kama uchaguzi ni huru na haki ina maana haijalishi hata kila mtu akihesabu kura mwisho wa siku watu wote watapata matokeo sawa so wanaowahi kuhesabu na kupost mwisho wa siku watapata matokeo sawa na waliochelewa kuhesabu na kupost maana vyanzo vya namba ni vilevile na ndiyo maana ya tume ya uchaguzi kuwa na uwazi kwenye utoaji wa matokeo. Ila kama kama tume ina kazi ya kulazimisha fulani ashinde hapo ni sawa kuficha matokeo mpaka wayapike kwanza then ndipo wayatoe
 
Jamani ndugu zetu Wa KE huku TZ Rais anagombania apokelewe na watu barabarani. !!
 
Wataenda duru ya pili, hamna jinsi, hamna atakayetoboa 50 kwa sasa.

Sina mengi naomba kuwasilisha.
 
Kwa hali inavyoonesha Ruto kachukua nchi,hawa nation kabla ya saa moja usiku watakuwa washakamilisha mahesabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…