Kama uchaguzi ni huru na haki ina maana haijalishi hata kila mtu akihesabu kura mwisho wa siku watu wote watapata matokeo sawa so wanaowahi kuhesabu na kupost mwisho wa siku watapata matokeo sawa na waliochelewa kuhesabu na kupost maana vyanzo vya namba ni vilevile na ndiyo maana ya tume ya uchaguzi kuwa na uwazi kwenye utoaji wa matokeo. Ila kama kama tume ina kazi ya kulazimisha fulani ashinde hapo ni sawa kuficha matokeo mpaka wayapike kwanza then ndipo wayatoeSiombei, ila ninaona kuna dalili kubwa sana ya kutokea kwa vurugu kwa majirani zetu. Dalili za waziwazi kabisa. Ngoja tuone ila lazima wazichape, na wasirudie tena huu upuuzi wa kila mtu ahesabu na kupost.