Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Watanzania mna presha kupita wenye uchaguzi wao duh mna kazi kubwa ndugu zangu
kwetu tume inawekwa na ccm,hawawezi kuweka uwazi kama huu ,hata wakiweka wataandaa jopo la kuhack mtandao kuedit juu kwa juu ,wanaweza wakafanya hivi kuzuga tu wahisani
 
Mkuu comments zako huko juu unawalalamikia wakenya haya haya kwa kisingizio cha system ikikuchagua. Tukiacha kuwa keyboard warriors nchi itapata katiba mpya na yenye nguvu kama wakenya
kwetu tume inawekwa na ccm,hawawezi kuweka uwazi kama huu ,hata wakiweka wataandaa jopo la kuhack mtandao kuedit juu kwa juu ,wanaweza wakafanya hivi kuzuga tu wahisani
 
Ruto alikuwa pro Raila 2007 .Hivyo Raila alipata kura za Rift Valley. Kumbuka Raila ndo alishinda ule uchaguzi kiukweli.Sema Mwai Kibaki akaiba ule uchaguzi na kujitangaza yeye kashinda tena. Ndo fujo ndo mpaka kukawa na serikali ya mseto na Raila akiwa waziri mkuu.
Kuhusu Uhuru. Bila Ruto Uhuru asingepata kura za Rift Valley. Mind you that Wakalenjin na Wakikuyu ndo wengi sana.
 
ila Ruto kacheza rafu nyingi sana ,magari yamekamatwa ashapigiwa kura ,ataongoza lakini tusubiri nachoona hatatangazwa
Yes kuna magari yamekamatwa yakivuka kutokea Uganda na kura zake tayari.Yameshikiliwa.Hili litamgharimu sana.
 
Hizo ni fake mkuu. Ruto akikomaa sana anafikisha kura milioni 6.9 ambazo hawezi kupata 50% huku Raila akikomaa sana anaishia kura milioni 7.4 ambazo ni 51% So it's either Raila or second round. Na ikienda second round Raila hatatoboa
Yeah ni kwel, second round atapigwa vibaya mnoo.Kosa kubwa la raila ni kukubali kunadiwa na Uhuru..
 
Media zote zimeacha kutangaza baada ya Ruto ku hack system na kujiongezea kura 100K. Hazitatoa tena live updates zimekatazwa zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…