Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
anajiamini mnoRuto ndo alisababisha Odinga awe prime minister,Ruto alisababisha Uhuru awe Raisi. Anashindwa vipi yeye kujisababisha kuwa Rais ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anajiamini mnoRuto ndo alisababisha Odinga awe prime minister,Ruto alisababisha Uhuru awe Raisi. Anashindwa vipi yeye kujisababisha kuwa Rais ?
Kvp mkuuRuto ndo alisababisha Odinga awe prime minister,Ruto alisababisha Uhuru awe Raisi. Anashindwa vipi yeye kujisababisha kuwa Rais ?
kwetu tume inawekwa na ccm,hawawezi kuweka uwazi kama huu ,hata wakiweka wataandaa jopo la kuhack mtandao kuedit juu kwa juu ,wanaweza wakafanya hivi kuzuga tu wahisaniWatanzania mna presha kupita wenye uchaguzi wao duh mna kazi kubwa ndugu zangu
Tumebet😂😂😂Watanzania mna presha kupita wenye uchaguzi wao duh mna kazi kubwa ndugu zangu
kwetu tume inawekwa na ccm,hawawezi kuweka uwazi kama huu ,hata wakiweka wataandaa jopo la kuhack mtandao kuedit juu kwa juu ,wanaweza wakafanya hivi kuzuga tu wahisani
nasubiri matokeo nikiwa namuangalia jogoo wangu nimchinjeWatanzania mna presha kupita wenye uchaguzi wao duh mna kazi kubwa ndugu zangu
lakini kidogo wakenya wameonyesha mwanga ,namna wanavyofanya kwa uwazi kwetu haiwezekani hadi katiba mpyaMkuu comments zako huko juu unawalalamikia wakenya haya haya kwa kisingizio cha system ikikuchagua. Tukiacha kuwa keyboard warriors nchi itapata katiba mpya na yenye nguvu kama wakenya
Mtuache.... Muda si mrefu tunampiga mtu goli la mkono...Watanzania ndio wanaendesha huu uchaguzi hapa jf
Ruto alikuwa pro Raila 2007 .Hivyo Raila alipata kura za Rift Valley. Kumbuka Raila ndo alishinda ule uchaguzi kiukweli.Sema Mwai Kibaki akaiba ule uchaguzi na kujitangaza yeye kashinda tena. Ndo fujo ndo mpaka kukawa na serikali ya mseto na Raila akiwa waziri mkuu.Kvp mkuu
Yes kuna magari yamekamatwa yakivuka kutokea Uganda na kura zake tayari.Yameshikiliwa.Hili litamgharimu sana.ila Ruto kacheza rafu nyingi sana ,magari yamekamatwa ashapigiwa kura ,ataongoza lakini tusubiri nachoona hatatangazwa
Mzee anachukua Nchi,Ruto kacheza rafu nyingi sanaJamani kwa hiyo Ruto ndo anaongoza,? Dah sasa Raila ndo itakuwaje jamani
Wala hakuna. Ruto ni mpiganaji aliamua kuwa jeshi la mtu mmoja.Uhuru na Ruto lao moja, Odinga aliingizwa mkenge na Uhuru ili kumjenga Ruto.
Basi kama hawa siyo tume ya Uchaguzi ni kujifurahisha tuHao sio tume ya uchaguzi wewe, hao ni NTV.
Deep state itampiga chini na hivi walivyozuia zisiendelee kuhesabiwa na media lazima alieila Ruto kacheza rafu nyingi sana ,magari yamekamatwa ashapigiwa kura ,ataongoza lakini tusubiri nachoona hatatangazwa
Yeah ni kwel, second round atapigwa vibaya mnoo.Kosa kubwa la raila ni kukubali kunadiwa na Uhuru..Hizo ni fake mkuu. Ruto akikomaa sana anafikisha kura milioni 6.9 ambazo hawezi kupata 50% huku Raila akikomaa sana anaishia kura milioni 7.4 ambazo ni 51% So it's either Raila or second round. Na ikienda second round Raila hatatoboa
Media zote zimeacha kutangaza baada ya Ruto ku hack system na kujiongezea kura 100K. Hazitatoa tena live updates zimekatazwa zoteRuto alikuwa pro Raila 2007 .Hivyo Raila alipata kura za Rift Valley. Kumbuka Raila ndo alishinda ule uchaguzi kiukweli.Sema Mwai Kibaki akaiba ule uchaguzi na kujitangaza yeye kashinda tena. Ndo fujo ndo mpaka kukawa na serikali ya mseto na Raila akiwa waziri mkuu.
Kuhusu Uhuru. Bila Ruto Uhuru asingepata kura za Rift Valley. Mind you that Wakalenjin na Wakikuyu ndo wengi sana.
Wewe acha bwana. Ni kweli ?Media zote zimeacha kutangaza baada ya Ruto ku hack system na kujiongezea kura 100K. Hazitatoa tena live updates zimekatazwa zote
DohMedia zote zimeacha kutangaza baada ya Ruto ku hack system na kujiongezea kura 100K. Hazitatoa tena live updates zimekatazwa zote