Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuwa ibilisi ila alifinyangwa aonekane ibilisi!!Raila alikosea kumsapoti ibilisi JP ila namkubali
Safi..That will never happen,toka Odinga ameanza harakati za siasa hamna ambaye alisha wahi kumshinda kiuhalisia pasipo figisu,bahati mbaya kwake huwa ana kuwa upinzani-so alikuwa anakosa support ya system.
Ukanda unawasaidia sana.Ruto jeshi la mtu mmoja.
Wakati wewe umejifungia hapa JF wenzio Pro Ruto kule twitter tena wakenya wenyewe wameshaanza kupiga mayowe.Nitakurejea baada ya matokeo kutangazwa.Hala hala usirushe ngumi tu kwa hasira [emoji3].Sisi tuko zetu KICC na red carpet tushatandaza.Ile sindano haikuingia, na hii je? Njia ya muongo ni fupi sana, haya danganya kingineView attachment 2321213
hi ngoma inaenda draw halafu uchaguzi wa urais unarudiwaToo close to call.View attachment 2321238
Mbona unahamisha magoli, wewe si umesema hapa wamekatazwa kupost matokeo mapya! [emoji2][emoji2][emoji2]Wakati wewe umejifungia hapa JF wenzio Pro Ruto kule twitter tena wakenya wenyewe wameshaanza kupiga mayowe.Nitakurejea baada ya matokeo kutangazwa.Hala hala usirushe ngumi tu kwa hasira [emoji3].Sisi tuko zetu KICC na red carpet tushatandaza.
Sio kweli,mbona miaka yote Odinga anashinda lakini hajawahi kuupata huo Urais.Nafasi hiyo haitolewi kwa MTU kwa kuwa ameshinda LA hasha hadi kwenye Nchi wenyewe waamue.Hamna cha chaguo la dola. Kenya wamekwiva kidemokrasia. Watafuata wakenya walivyosema kwenye box la kura.
Acha ushabiki.Right now William samoei Ruto to be the fifth President of [emoji1139][emoji1139][emoji1139][emoji1139] is inevitable
Daaah! Nimecheka sanakama kutakua na marudio uchaguzi Kenya mgombea mmoja aombe msaada kwa ccm atashinda mapema kabisa asubuhi kwa mfumo huohuo wa sasa wa kura za uwazi.
ccm wanambinu za wizi aina zote za wizi kwenye chaguzi,wana mpaka mbinu za kumuibia dhambi shetani.
Kwa nini mzee?Right now William samoei Ruto to be the fifth President of π°πͺπ°πͺπ°πͺπ°πͺ is inevitable
baba anapelekewa π₯π₯π₯ kama mandonga πππKwa nini mzee?
Na tena ni karibu Nchi zote Duniani na huu ndio ukweli anayepinga apinge tu kujifurahisha.Dem
Demokrasia haijawahi kumchagua kiongozi!
Kura hupigwa kuhalalisha kiongozi aliekwisha chaguliwa na wenye nchi...
Kumuibia dhambi shetani--khaa nimecheka sana,mkuu acha kutufanyia hivyo sisi wana CCM!!kama kutakua na marudio uchaguzi Kenya mgombea mmoja aombe msaada kwa ccm atashinda mapema kabisa asubuhi kwa mfumo huohuo wa sasa wa kura za uwazi.
ccm wanambinu za wizi aina zote za wizi kwenye chaguzi,wana mpaka mbinu za kumuibia dhambi shetani.