Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Ile sindano haikuingia, na hii je? Njia ya muongo ni fupi sana, haya danganya kingineView attachment 2321213
Wakati wewe umejifungia hapa JF wenzio Pro Ruto kule twitter tena wakenya wenyewe wameshaanza kupiga mayowe.Nitakurejea baada ya matokeo kutangazwa.Hala hala usirushe ngumi tu kwa hasira [emoji3].Sisi tuko zetu KICC na red carpet tushatandaza.
 
Mbona unahamisha magoli, wewe si umesema hapa wamekatazwa kupost matokeo mapya! [emoji2][emoji2][emoji2]
 
kama kutakua na marudio uchaguzi Kenya mgombea mmoja aombe msaada kwa ccm atashinda mapema kabisa asubuhi kwa mfumo huohuo wa sasa wa kura za uwazi.

ccm wanambinu za wizi aina zote za wizi kwenye chaguzi,wana mpaka mbinu za kumuibia dhambi shetani.
 
Right now William samoei Ruto to be the fifth President of πŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺπŸ‡°πŸ‡ͺ is inevitable
 
kama kutakua na marudio uchaguzi Kenya mgombea mmoja aombe msaada kwa ccm atashinda mapema kabisa asubuhi kwa mfumo huohuo wa sasa wa kura za uwazi.

ccm wanambinu za wizi aina zote za wizi kwenye chaguzi,wana mpaka mbinu za kumuibia dhambi shetani.
Kumuibia dhambi shetani--khaa nimecheka sana,mkuu acha kutufanyia hivyo sisi wana CCM!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…