Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
KTN News
Ruto 6,375,992
Odinga 6,347,744

The Citizen
Ruto 6,457,182
Odinga 6,405,221

KTN Kenya
Odinga 6,266,462
Ruto 6,144,117

Hizi matokeo ya media 3 ndo utajua nani rais
Hapo Citizen tv umepindua. Za Ruto umempa Odinga na za Odinga umempa Ruto.
 
Ila Citizen wako mbele kidogo.
Mpaka kufikia usiku watakutana tu na tutajia mbivu na mbichi.
RAO naona wafuasi wake wanamuandalia press ya kumpongeza. Ni kama vile hawaamini kama baba kapigika kirahisi
Citizen digital wamestuck kuesabu RAO 49.52% RUTO 49.08%. Nahisi wameshajua kuna kitu sio kizuri kinaenda tokea...kuna mtu kapigwa dakika za mwisho....

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Majimbo hayajafanya la maana hapo Kunyaland! Si kila wanachofanya tuige!
Wacha uongo mzee.., county govt zimefanya mengi mno, bila majimbo Kuna watu hawangejua barabara za lami zinafanana vipi, stima, hospitali, viwanda, wacha porojo mzee, mbona Kenya huwa inakukera hivyo? Penda ukweli.
 
Ni ngoma ngumu sana, ila binafsi pia nahisi nyota ya mchezo ipo kwa Odinga
Wametulia hapa
Screenshot_20220811-170418.jpg


Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
hadi kufikia saa 11:12 jioni hii kwa saa za Afrika mashariki

Ruto: 49.85%

Raila 49.47%
 
Back
Top Bottom