Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Hizo ni fake mkuu. Ruto akikomaa sana anafikisha kura milioni 6.9 ambazo hawezi kupata 50% huku Raila akikomaa sana anaishia kura milioni 7.4 ambazo ni 51% So it's either Raila or second round. Na ikienda second round Raila hatatoboa
Umejaribu kujiuliza ni kwanini citizen TV ambayo pia ndo tallying center ya Azimio kura zimeganda vilevile kwa muda mrefu? Una habari raila na Atwoli wameitembelea Leo hii citizen TV?
 
Unaongea kitu ambacjo hukijui, kwahiyo ruto nani kakwambia ruto anayo hofu ya Mungu, mwenye hofu ya Mungu ni Yul mchingaji aliyeshika nafasi ya mwisho anaezidiwa na mvuta bangi.
Ruto huyu ambae enzi za mwai kibaki alikua mgombea mweza wa odinga, akimwambia asikubali kusaini matokeo hata watu wakiuana, sasahiv unasema anayo hofu ya Mungu
Kwani hali inaendeleaje huko?
 
Umejaribu kujiuliza ni kwanini citizen TV ambayo pia ndo tallying center ya Azimio kura zimeganda vilevile kwa muda mrefu? Una habari raila na Atwoli wameitembelea Leo hii citizen TV?
mi ninachoona matokeo ya Citizen ndo tunachoenda kutangaziwa.
 
Umejaribu kujiuliza ni kwanini citizen TV ambayo pia ndo tallying center ya Azimio kura zimeganda vilevile kwa muda mrefu? Una habari raila na Atwoli wameitembelea Leo hii citizen TV?
Citizen wameamua kutuliza mzuka ila kwa ujumla kura zilizobakia Ruto hatoboi 20K. Believe me. Hata maandalizi yanayoendelea inaonyesha wazi ni Raila ameandikwa
 
Umejaribu kujiuliza ni kwanini citizen TV ambayo pia ndo tallying center ya Azimio kura zimeganda vilevile kwa muda mrefu? Una habari raila na Atwoli wameitembelea Leo hii citizen TV?
Hapa msema kweli ni Tume ya Uchaguzi chini ya Chebukati peke yake.Huku kwingine tunajifurahisha tu
 
Umejaribu kujiuliza ni kwanini citizen TV ambayo pia ndo tallying center ya Azimio kura zimeganda vilevile kwa muda mrefu? Una habari raila na Atwoli wameitembelea Leo hii citizen TV?
Ma great thinker wa hii platfom wameanza kuibuka...humu kuna magenious huwezi danganya hovyo....wambie bana

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom