Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwamba state apparatus ndio zimemfanya Raila achelewe Bomas? Watakuwa wanafanya Presidential rehearsalMkuu
Heshima kwako. Unavyoandika hivyo nashikwa na Hof yakufa mtu
Acha msingizia bwana ,yeye ni nani Afrika mashariki, ? Hana ubavu huo ,kagame ,Mseveni wanaweza sema angalau ila sio yeyeSamia kapiga simu huko kasema matokeo yasitangazwe leo mpaka Odinga awepo. Over.
Jamani au yawezekana anaumwa mzee wa watu, ingawa hatuombei iwe hivyoOdinga aache utoto bhna.
Na iwe hivyoSio kwamba state apparatus ndio zimemfanya Raila achelewe Bomas? Watakuwa wanafanya Presidential rehearsal
Ama ni namna gani?
Toa hofu Mkuu,yule sasahivi anavalishwa ma bullet proof na mengineyo maana si mtu wa mchezomchezo tena,ndio maana anachelewa kidogo,Chebukati atasubiri tu atake asitake[emoji28]Mkuu
Heshima kwako. Unavyoandika hivyo nashikwa na Hof yakufa mtu
Watoto hamjafungua shule mpaka leo!!??baba hataki kuja bomaas..kajifungia analiaa..inabidi apewe vacation akakae chato kidogo akila mafenesi na sato wa kupara
🤣🤣Watoto hamjafungua shule mpaka leo!!??
Ukimuona ujue ndio rais, asipokwenda ujue kapigwa maana hata uchaguzi wa 2013 na 2017 hakwenda.Ila issue ya msingi Tume inasubiri nini???? Toka SAA 9 hadi sasa 16:28 Luna uwezekano Mkubwa anasubiriwa yeye.Kama Odinga asipokuja kwani itakuwa jeee.
Bila shaka wanafanya juhudu kumshawishi Raila akubali kuja. Kenya wananchi wake siyo goi goi kama Tanzania kwani wasipofanya mambo kwa tahadhari kunaweza kufumuka fujo kubwa. Riala kuwepo kutafanya washabiki wake wasifanya fujo.Aisee jamani Hawa jamaa mbona hawa confirm tuu hahaaaa...si watangaze tujue ama ni hasla au mzee wa nchi ya Ahadi
Huo ndio ukweliUkimuona ujue ndio rais, asipokwenda ujue kapigwa maana hata uchaguzi wa 2013 na 2017 hakwenda.Ila issue ya msingi Tume inasubiri nini???? Toka SAA 9 hadi sasa 16:28
Unahangaika sana haya katage hilo yai sasa.Hayo matokeo mnaona kwenye portal sio kweli mtashangazwa na matokea ya IEBC ambayo ni tofauti tunzeni hii sms you will thank me later
Acheni lazimisha maji panda mlima KILA mtu anajua na Mungu anajuaModerator msiache JF kuwa kijiwe cha wazushi...futeni uzi huu unapotosha