SafiiiiiiiiOooooooh Baba amepigwa alooo.
Wakala wake mkuu analalamika hapa. Case closed😊😊😊😊
Hafiii mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SafiiiiiiiiOooooooh Baba amepigwa alooo.
Wakala wake mkuu analalamika hapa. Case closed😊😊😊😊
Hivi mkuu Rao ni Jina lake kweli limaanisha Nini?50.67 RAO
Daaaa we mzee hiyo hela ya Ruto unaweza kuinywa Heineken kwa amani sasa😄😄😄😄😄 sioni mzee ya Kitendawili akifanya comeback hapa aiseSafiiiiiiii
Hafiii mtu
Una maoni gani sasa?Nawapeni ukweli mnaona nahangaika nakwambia hivi tena narudia RAO is going to be declared as the president of Kenya. Hutaki unapita vile kiroho safi
Si rahisi kihivyoHayo matokeo mnaona kwenye portal sio kweli mtashangazwa na matokea ya IEBC ambayo ni tofauti tunzeni hii sms you will thank me later
WoyoooooooNawapeni ukweli mnaona nahangaika nakwambia hivi tena narudia RAO is going to be declared as the president of Kenya. Hutaki unapita vile kiroho safi
RAO=RAILA ODINGAHivi mkuu Rao ni Jina lake kweli limaanisha Nini?
Raila Amolo OdingaHivi mkuu Rao ni Jina lake kweli limaanisha Nini?
mhhhhh naona kivumbi kinakuja.. agent wa azimio kakatiwa matangazo hahah
Kwamba na wewe umeamini?Woyooooooo
RAO= RAILA AMOLO ODINGAHivi mkuu Rao ni Jina lake kweli limaanisha Nini?
Sanaa tu, viva RailaaaaaaKwamba na wewe umeamini?
Andaa kichwa mjomba akishindwa tukutie makonzi kwa kutupa utabiri wa mchongo 😂😂😂Nawapeni ukweli mnaona nahangaika nakwambia hivi tena narudia RAO is going to be declared as the president of Kenya. Hutaki unapita vile kiroho safi
RAILA AMOLO ODINGARAO=RAILA ODINGA
Raila Amolo OdingaHivi mkuu Rao ni Jina lake kweli limaanisha Nini?