Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni thimba na mkishindwa kuifunga Yanga dk za mwanzo mjue mtafungwa ninyi mana thimba wanachoka sana dk za mwisho mwishoSimba wanakosa bao la waaaaazi kabisa
Pamoja mkuuAhsante Danny greeny kwa updates nzuri
Yanga 0-0 SimbaNifah nini kinaendelea nimelala naskia mikelele nje huko ubao unasomekaje
Sisi tunamsubiri yeyote mshindi Wa tatu maana Azam katupiga nusu fainali ya kwanza.Mechi ya simba na yanga hamnaga burudani, kupaniana kwingi!!
Upo timu gani mkuu ?Tunakoswa tena.
Itakua yanga tu.......maana yanga ndo wanaokoswa.Upo timu gani mkuu ?