Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Bantu lady hii lugha ndo waliyokuwa wakiitumia kujenga mnara wa babeli kisha ukaangukia jangwani[emoji15] [emoji15] [emoji15]GajskxjdbdjcmclshspeuqkgfkcncaoqusbdpdjqhzgapqpshalabzhaiqfqudpdjavLchapslcgayqtspslabzksizgakshqoanskfpapqnsgxpqbsjxoqhanzlxpwhslfhsidpwhakfhqhqpdjdnxpchwhzkdpcjsjdpcjwbdocpfnsjclxkahwpdbdpcbF*** Yanga
Kwa kuwa umefungwa sioMpiraawatanzaniaaa badoosanaasanaa
Haya Yanga mrudi haraka usiku huu huu, hatuwapokei maana tutawatandika makofi tu. Mtuache Azam tuwaonyeshe kazi hao vidomodomo. Azam mbele kwa mbele, mpaka kieleweke.
Azam kwa uhamisho wa ghafla...
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yamekuwa hayo jamani... Basi Jecha aje afute matokeo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] best yanga wana 4G+4G=8GWanabahati sana hawa.. Ilikua tumalize hii kazi mapema sana.
Sasa Azam wajipange.. Tunakuja.
Bila 4 hawaridhiki.Yanga wanavyo penda nne?!!
Yanga 2 - 0 Thimba
Kama Kila ukifungwa na Mnyama unamfukuza kocha.. Basi msimu huu timu zote zitatimua makocha wao msimu huu.Yeah timu si mbaya sana. Ila lwandamina kazi anayo kwa hiki kikosi. We need plan B otherwise huu utakuwa mwaka wa tabu kwetu
Hapo vipi sasa? Nipe matokeo basHizo mbingu saba zote unafikiri ni za kuchezea kidali poo nini? Mbingu moja ya Yanga na tuna uwanja huko
Hahahah, jamani,!!!! Inatiafaraja sana!!! Maaana kesho tutafanya kazi kwa amani!!!Bila 4 hawaridhiki.
Mshaliaji ni niniKwani wapi nimekosea?...
Msumari upi?
Duh ushahama timu? Vumilia upepo tu huu utapita. Msimu mmoja usifute mafanikio ya misimu mitatu iliyopita. Kumbuka kutesa kwa zamu. For four consecutive years sembo alikuwa akiishi kama shetani humu. Si vibaya tukawapa nao nafasi kwa msimu mmoja.Haya Yanga mrudi haraka usiku huu huu, hatuwapokei maana tutawatandika makofi tu. Mtuache Azam tuwaonyeshe kazi hao vidomodomo. Azam mbele kwa mbele, mpaka kieleweke.
Azam kwa uhamisho wa ghafla...
what do u expect....!!!Unatakaaa kukimbiaaa na hauna break.......