Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

Yaliyojiri Uwanja wa Aman: Simba SC Vs Yanga,Kombe la Mapinduzi 10/1/2017

Ukiona mtu anafurahi ushindi wa pernat a.k.a rede ujue huyo anatatizo
Nahisi hujui mpira mkuu. Au umeanza kushabikia mpira wakati wa Mapinduzi Cup.

Italy mwaka 2006 walibeba Kombe la Dunia kwa ushindi wa Penati dhidi ya Ufaransa.

Sasa wewe sijui kinauuma nini kwa ushindi wa leo wa Mnyama kupitia penati.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

yani hata kucheka tuna cheka mara nane nane.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom